The battalions of idiocy are on the march in Tanzania, old haven of global intellectuals

kawatukana matusi mazito sana lakini kwa sababu akili zenu ni finyu mnaona mauza uza tuuu
 
kawatukana matusi mazito sana lakini kwa sababu akili zenu ni finyu mnaona mauza uza tuuu

Tangu lini ukweli ukawa tusi? Jenerali Ulimwengu kaandika ukweli mtupu. Kumbuka yeye ni Mtanzania pia.

Ili kujikomboa, ni lazima kukabiliana na ukweli wa hali halisi, hata kama ukweli wenyewe ni mchungu.
 
Back
Top Bottom