Ooooh My God!...siku kama ya leo nikitokea sehemu fulan nilikuja hapa duniani kutalii na kujikuta nalowea,...nimewakuta watu wakarimu na wakorofi pia,wazuri na wabaya,...ol in ol ni hawa watu niliokutana nao ndio walionifanya niweke makazi kwa muda mrefu otherwize ningekua nimerudi kwa hiari yangu ama ningerudishwa kwa nguvu kule nilikotoka.
Na hili nalisema kutoka moyoni......NAWAPENDA WOTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE TENA SAAAAAAAAAAANA.