Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,351 Feb 17, 2013 #1 Kutoka katika Facebook ya Shafih Dauda ni kuwa uchaguzi wa TFF na ule wa kamati ya ligi umeahirishwa mpaka itakapotangazwa vinginevyo. Taarifa zaidi zitawajia mara zitakapopatikana...
Kutoka katika Facebook ya Shafih Dauda ni kuwa uchaguzi wa TFF na ule wa kamati ya ligi umeahirishwa mpaka itakapotangazwa vinginevyo. Taarifa zaidi zitawajia mara zitakapopatikana...