Hata akiletwa nani, kwa uswahili huu wa bongo hamna kitu. !!!Nimeiangalia game ya jana na baadhi ya game ya taifa stars, nmegundua tatizo ni viongozi wa TFF kuajiri wrong coaches ambao hawaendani na characteristics za wachezaji wetu. Uganda na Kenya wameshajua hilo kwasasa wanaajiri wamkocha wanaoendana na characteristics za wachezaji wao.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojaliwa vipaji vya soka kama siyo afrika kwa sasa inaweza ikawa east africa. Na baadhi ya magwiji wa soka waliofika hapa wali recomend hilo.
nmefanya study ndogo nikagundua tatizo kubwa linaloisibu timu ya taifa ni uongozi kushindwa kuwa na wataalamu wa kuwashauri kutokana na uelewa wao, waangalie aina gani ya kocha anayeendana ama anayeelewa characteristics za wachezaji wetu ambaye aje aingize philosophy itakayo improve wachezaji wetu siyo kuwauwa kabisa kiuchezaji kama ilivyotokea kwa timu yangu Chelsea, walikuja kustuka msimu huu baada ya kufukuza makocha wengi sana.
Ushauri wangu kwa TFF, ningeshauri waongee na Masudi Juma. yule jamaa ni Kocha mzuri na anafahamu characteristics za wachezaji wetu na anawajua pia. nadhani atawasaidia kuwaimprove tofauti na hao makocha mnaotuletea wana implement systems zao za west africa, wakati kwetu huku wachezaji wanakula chips na ugali dagaa.
fact mkuu ila anaweza kutusaidia kwa short term na long term, na atakuwa msaada kwa wachezaji wetu, kuliko huyu anawauwa kabisa. bora tulinde tulichonacho wakati tukitafuta solution.Hata akiletwa nani, kwa uswahili huu wa bongo hamna kitu. !!!
Nchi yetu inaharibiwa na uswahili na unafki
Hao TFF ya sasa wenyewe sio watu wa mpira wapo wapo kisiasa tuTaifa Stars hata aje Putin kama hatutavunja mifumo mibovu katika uteuzi wa wachezaji basi hakuna lolote litafanyika.
Inaonekana kuna viongozi wana wachezaji wao kuna kitu wanapata kupitia wao.
Nimeiangalia game ya jana na baadhi ya game ya taifa stars, nmegundua tatizo ni viongozi wa TFF kuajiri wrong coaches ambao hawaendani na characteristics za wachezaji wetu. Uganda na Kenya wameshajua hilo kwasasa wanaajiri wamkocha wanaoendana na characteristics za wachezaji wao.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojaliwa vipaji vya soka kama siyo afrika kwa sasa inaweza ikawa east africa. Na baadhi ya magwiji wa soka waliofika hapa wali recomend hilo.
nmefanya study ndogo nikagundua tatizo kubwa linaloisibu timu ya taifa ni uongozi kushindwa kuwa na wataalamu wa kuwashauri kutokana na uelewa wao, waangalie aina gani ya kocha anayeendana ama anayeelewa characteristics za wachezaji wetu ambaye aje aingize philosophy itakayo improve wachezaji wetu siyo kuwauwa kabisa kiuchezaji kama ilivyotokea kwa timu yangu Chelsea, walikuja kustuka msimu huu baada ya kufukuza makocha wengi sana.
Ushauri wangu kwa TFF, ningeshauri waongee na Masudi Juma. yule jamaa ni Kocha mzuri na anafahamu characteristics za wachezaji wetu na anawajua pia. nadhani atawasaidia kuwaimprove tofauti na hao makocha mnaotuletea wana implement systems zao za west africa, wakati kwetu huku wachezaji wanakula chips na ugali dagaa.
hapana mkuu...anahitajika mtu analifaham soka na characteristics za wachezaji wetu ili awaendeleze...hata mwambusi naona kama anafaa...ila kwa makocha wa nje nampa huyo sababu amekaa hapa bongo na soka letu analijua na system yake nahisi itafiti kwa wachezaji wetu
Naona unataka utuondolee ' Pipa ' na sasa utuletee ' Jaba ' Mkuu au?
Tz hata aje Guadiora au Allegri bado hatuna wachezaji wanaojua wafanye nn wakati gani kutokana na misingi yaoNimeiangalia game ya jana na baadhi ya game ya taifa stars, nmegundua tatizo ni viongozi wa TFF kuajiri wrong coaches ambao hawaendani na characteristics za wachezaji wetu. Uganda na Kenya wameshajua hilo kwasasa wanaajiri wamkocha wanaoendana na characteristics za wachezaji wao.