Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,152
Hizo hapa sheria za FIFA. TFF wanajifanya vipofuTFF watatubu tu Simba ni kubwa kuliko taasisi zote Tanzania ukiondoa serikali.
Hiiiiiiiiii mnajikuta mnaogopwaaa??haooo mbuluu kengee wana tafuta sababu ya kuweka mpira kwapani
Sasa ni hivi, kesho hakuna ruksa yoyote ya kukimbia mechii, yaani tutawasaka nchi nzimaa na kuwaleta uwanjani kwa nguvuu
Wewe unaongea utumbo gani? Mlianzia kwenye logo ya gsm isikae kwenye jezi Leo tena mnaibuka amtaki kuyaona mabango ya gsm hivi mnazo akili timamu kweli nyie? Tff ashasaini mkataba tiyali na mabango ayo yatakuwepo kwenye kila mechi ya ligi kuu sasa Ina maana mtasusia mechi zote za ligi? Naona viongozi wa simba wanatumia hili sakata Kama kichaka cha kukwepa aibu iliyoko mbele yaoWatu tumesafiri kufata derby
Tumelipia ving'amuzi
Tumelipia tiketi ya mechi
Tumesafirisha michepuko
Tumewaandaa watoto wetu waone derby
Tumebet pesa zetu
TFF mkishirikiana na GSM mmeamua kuvuruga mechi makusudi ili mfaidike, mvimbishe matumbo yenu.
Kwani mgesubiri derby ipite mkaleta mabango ya GSM mngepungukiwa nini?
Itoshe kusema mpira wetu unaongozwa na watu WAPUMBAVU mno, kunafanyika mambo ya aibu sana kwenye soka letu.
Ikumbukwe mlisema mkataba unahusu TFF na GSM vipi leo mnalazimisha klabu zihusike? Na mlichimba mkwara mzito kua mkataba usijadiliwe!
Na nyie GSM mmeshindwa kuifanya yanga kua imara mnakuja kuharibu mpira tena, mliahidi Yanga asipokua bingwa muulizwe nyie mkashindwa leo mmeona mtumie fedha kuharibu mpira.
Sent using Jamii Forums mobile app
NI MPUMBAVU TU ATAKAYEKUBALI KUVAA NEMBO YA KIT SUPPLIER WA UTOPOLO KWA MILION 60 KWA MWAKA(5 MILLIONS A MONTH) IINGILIANE NA KIT SUPPLIER WAKE VUNJA BEI ANAYETOA 0NE BILION A YEAR(85 MILLIONS A MONTH)Wewe unaongea utumbo gani? Mlianzia kwenye logo ya gsm isikae kwenye jezi Leo tena mnaibuka amtaki kuyaona mabango ya gsm hivi mnazo akili timamu kweli nyie? Tff ashasaini mkataba tiyali na mabango ayo yatakuwepo kwenye kila mechi ya ligi kuu sasa Ina maana mtasusia mechi zote za ligi? Naona viongozi wa simba wanatumia hili sakata Kama kichaka cha kukwepa aibu iliyoko mbele yao
Watatafuta sababu nyingine.
"Tunapenda kusisitiza mkataba ni kati ya TFF na GSM group" Barua ya TFFWewe unaongea utumbo gani? Mlianzia kwenye logo ya gsm isikae kwenye jezi Leo tena mnaibuka amtaki kuyaona mabango ya gsm hivi mnazo akili timamu kweli nyie? Tff ashasaini mkataba tiyali na mabango ayo yatakuwepo kwenye kila mechi ya ligi kuu sasa Ina maana mtasusia mechi zote za ligi? Naona viongozi wa simba wanatumia hili sakata Kama kichaka cha kukwepa aibu iliyoko mbele yao
GSM ameamua kutumia hela zake chafu kuivuruga ligi yetuWatu tumesafiri kufata derby