Hapana Mkuu, niliomba food registration officer... But jaribu kuchek na watu walioomba post hiyo maana nasikia hawajaita wote.. Mi nna rafiki zangu wawili tuliomba post moja hawajaitwa
Mmmm! Basi tayari wamenila mkasi maana nilijua wangenipigia na mimi leo but wapi!!! baadhi ya marafiki zangu wameitwa na mimi niliomba food regstration officer. Hapa ni kufunga mkanda kuangalia mawindo mengine.