Salaam wakuu.
Mwishoni mwa mwaka jana chuo kikuu cha ardhi kilitangaza nafasi za kazi na mwisho wa kutuma maombi ilikuwa ni tarehe 27/12/2020.
Naomba kama kuna waliofanikiwa kuitwa kwenye usaili/interview watufahamishe maana walisema only shortlisted candidates will be contacted.