Platnumz anaweza agiza hata 10Juzi Tesla walizindua Model Y, ambayo ni update ya Model Y iliopita, wanaiita Model Y Juniper.
View attachment 3214680
Tesla walijitahidi sana kuweka hii siri, ila wananchi walishashtukia maana hakunaga siri haya maisha.
View attachment 3214681
Lengo kubwa la Tesla kuweka siri waliogopa itaaffect mauzo ya Model Y ilipo sokoni sahivi kwamba kila mtu atakua anasubiria update.
View attachment 3214683
Kuhusu hii gari, haina mabadiriko mengi sana technically zaidi muonekano ndio umebadirika.
View attachment 3214685
Hii version ni AWD yenye range ya 523 km ikiwa imeongezeka kiduchu aana kutoka Model Y iliopita yenye 501 km.
View attachment 3214686
Speed Max ni 200km/h na utatoka 0-100 km/h kwa 4.2 sec.
View attachment 3214687
Kwa mtazamo ni kama Tesla ameanza kuelekea muonekano wa gari za kutoka China, ukifuatilia ata muonekano wa update ya Model 3 ya mwaka jana utakua shahidi.
View attachment 3214688
All in all gari imekua nzuri zaidi kwa mtazamo binafsi.
Bei imepanda kidogo itaanzia $60,000+ bila ushuru wala usafiri.
Asante.
Utapungua kiasiUshuru Mil 150 zigine.
Sure, Model Y ya 2025 ushuru sio wa moto sana Mil 63+ hivi.Utapungua kiasi
Ushuru unatozwa kutokana na Mwaka gari imetengenezwa
Kwahiyo gari ya Mwaka Jana huenda ikapata punguzo la Kodi Kwa asilimia hata 50
Ila kama hela ipo, Bora kununua hizo gari za Tesla ama yale HybridSure, Model Y ya 2025 ushuru sio wa moto sana Mil 63+ hivi.
View attachment 3214759
Ni Model X ndio ina ushuru wa moto sana.
View attachment 3214761
Hakuna kitu kama hicho hapa TZ! Inasikitisha na kuhuzunishaUtapungua kiasi
Ushuru unatozwa kutokana na Mwaka gari imetengenezwa
Kwahiyo gari ya Mwaka Jana huenda ikapata punguzo la Kodi Kwa asilimia hata 50
Mamlaka hazitaki kumsaidia mwananchi wa kawaidaHakuna kitu kama hicho hapa TZ! Inasikitisha na kuhuzunisha
Niliagiza vitz ya 2020 mwaka 2022, nilikoma ushuru. Hii nchi sijui kuna shida gani. Nadhani siku mgombea binafsi atakaporuhusiwa ndipo unafiki utaisha na watu kuelezana Ukweli.Mamlaka hazitaki kumsaidia mwananchi wa kawaida
Haiwezekani gari ya Mwaka 1997 iwe na Kodi sawa na gari ya Mwaka 2024
Hii Nchi tumekosa Viongozi wenye maono
Viongozi wana roho mbaya sanaMamlaka hazitaki kumsaidia mwananchi wa kawaida
Haiwezekani gari ya Mwaka 1997 iwe na Kodi sawa na gari ya Mwaka 2024
Hii Nchi tumekosa Viongozi wenye maono
Hio hela Bongo unatungua mipira mingi ya maana toka Japanese Used Market au hata European makes😄!Muonekano ni mzuri, lakini kikubwa ni economy of scale kwenye energy
Dollar 60,000 Kibongo Bongo ni kama milioni 150 hivi
Hizo gari uzuri wake ni za Umeme, kwahiyo hakuna kukutana tena Sheli kujaza mafutaHio hela Bongo unatungua mipira mingi ya maana toka Japanese Used Market au hata European makes😄!