Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Paul Makonda hatenguliwiBado list ni ndefu sana mm nitakuja kujaza siku daud bashite akitenguliwa
List inaweza kuzidi walio teuliwa huyu msukuma ana mchezoBalozi Sefue ang’olewa Ikulu
Kilango atenguliwa
Kitwanga atenguliwa
Karibu Mkuu nishati na madini atenguliwa
Nape atenguliwa
Lawrence mafuru atenguliwa
List inaweza kuzidi walio teuliwa huyu msukuma ana mchezo