website designer
Member
- Feb 3, 2012
- 13
- 0
Sasa....watu wengine bwaaaaaaaa....aliposema hujaamini na je ukiona ndio utamini?.......mh....mashaka matupu......best nakutakia kazi njema mafanikio mema katika utakalolifanya maadam unatumia akili, ubunifu na kujituma kwa bidii ni jinsi gani uyakabili haya maisha.... Kwa mwenyekuhitaji na anayejua nini maana ya website atakutafuta....ili aweze kuona ni kazi zipi ulizofanya.....usivunjike moyo mwanzo mgumu hakuna alie anza juu hata siku moja .....unaanza na tofali moja ndio mengine yanafata hata yawe trilioni moja na kuendelea.....unaanza na moja
nitumie your email ntakutumie not one but five website tulizotengenezaWeka baadhi ya kazi mlizofanya hapa jukwaani ili tuzitembee na kufanya tathmini.
nashukuru sana tunajaribu kuboresha maisha yetu uku tukisaidia jamii piaSasa....watu wengine bwaaaaaaaa....aliposema hujaamini na je ukiona ndio utamini?.......mh....mashaka matupu......best nakutakia kazi njema mafanikio mema katika utakalolifanya maadam unatumia akili, ubunifu na kujituma kwa bidii ni jinsi gani uyakabili haya maisha.... Kwa mwenyekuhitaji na anayejua nini maana ya website atakutafuta....ili aweze kuona ni kazi zipi ulizofanya.....usivunjike moyo mwanzo mgumu hakuna alie anza juu hata siku moja .....unaanza na tofali moja ndio mengine yanafata hata yawe trilioni moja na kuendelea.....unaanza na moja
Inabidi aweke angalau website moja ili tuithaminishe...
Analinda identity yake
nime kuPMWeka baadhi ya kazi mlizofanya hapa jukwaani ili tuzitembee na kufanya tathmini.
nime kuPMInabidi aweke angalau website moja ili tuithaminishe...