Tendo la ndoa ni vita

Binafsi huwa nikiwa mzigoni ata apige mayowe huwa simsikilizi hata sijui nikwann? Najikuta tu imetokea tukimaliza ndo badaee ananielezea kilicho tokea
 


Kichaafulani ,Omerta ! mie hata sitii NENO TENA !
 
Binafsi huwa nikiwa mzigoni ata apige mayowe huwa simsikilizi hata sijui nikwann? Najikuta tu imetokea tukimaliza ndo badaee ananielezea kilicho tokea


ahahahaha nimecheka sana jaman !duh ! aisee kweli kuna watu jaman ! khaaa !wenzako ht utoe machozi ya furaha anakuuliza unalia nn !heheh wewe sasa yowe ndo huullizi kbsss !hv maana ya yowe ni nn !mie nadhan sauti ya yowe mara nyingi kuna kitu sio poa !ile saut ya yowe tu ni kiashiria tosha UMEFELI ! jaman had nawaonea huruma hao wanawake zenyu duh!

lakin tunarud kule kule' inategemeana na aina ya mwanamke'
 
Aiseee mpaka naoa nitakua nmejifunza mengi.


Asante JF founder.
Huwezi jifunza ukiwa nje ya ulingo, ingia kati, kwenye ndoa kuna mengi kuna mazuri na mabaya ila jifunze kuona mazuri zaidi, kwenye ndoa sex inaweza ikawa sehemu ya kubariki uhusiano wenu kichipua zaidi, ila mkinyimana basi mnatengeneza njia ya mpasuko..
 
Usisahau mkuu ile ishu aikomolewi maana hadi mtoto anapita pale.
 
Usisahau mkuu ile ishu aikomolewi maana hadi mtoto anapita pale.
Hahahaha mkuu wakati mtoto anapita huwa imejiandaa biologically na wakati wa tendo huwa reaction ipo tofauti mkuu tofautisha hivyo vitu viwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…