kamanda huyo demu we mpotezee mazima, unajua mademu wenye dharau kama huyo unamlia jiwe tu yaani full mikausho!!
hata huku kitaa ninaishi, kulikuwa na demu km huyo alimtosa msela wake kwa sababu ya pedeshee mmoja...
basi yule mchiz wetu kile kitu kilimu-hurt kinoma lakini akauchubua kiume tu na akatafuta demu mmoja mkali viwango kama vya Wema Sepetu...
hicho kitu kinamuuma yule demu wake wa mwanzo kuona hivyo akawa analeta mistari ya kutaka kurudiana...mchizi wetu tumemshauri amfungie vioo asije akaharibu kwa mchuchu wake mpya...
Nani akujuilishe? Mpigie simu umuulize mwenyewe tatizo ni nini, yeye ndio mwenye jibu sahihi, au baada ya kukuzingua namba ulifuta?
Jaribu kuchunguza vizuri huenda ikawa wewe ndio umevamia
habari ndugu zanguni;
napenda niwafaham tabia za hawa ndugu zetu kidogo
kwani nilikuwa nampenz flan tukazinguana kwakuwa mi nilikuwa naharakat flan za shule akatafuta namna yakuniumiza akawa anatoka namchz wangu wakarbu akawa anamuhonga ile mbaya kusudi mchzi asiruke,basi ikawa hvyo nkirud likzo wanakuwa wote show off kbao niumie roho nakumsimulia mchz habar kibao et siwez mapenz,nkapuuzia
sasa bas juz hapa mi nkawa natoka zangu out namtoto flan wakitaa chao ambaye wanamrespect mno uzur,shule n.k
tatzo; tulipishana maeneo halaf ye akiwa raf hakuna mfano tukampa hi akauchuna na amenichukia vbaya mno tofaut na wakati hajaniona na mchumba wangu huyo
sasa naomba nijulishwe tatizo ninini hapo wakat ye anamchz wake!