Telex free kimenuka. Usidanganyike !!!!


Thank You.
You Know The Drill Brother !!!
I'm glad u got the whole thing !!! We subiri baada ya muda utakuja sikia vilio tu. I gurantee that !!!
 

Kuna watu wanaboa sanaaa. Kitu cha kutumia akili ndogo ila unakuta mtu ana complicate mambo sana. Anyway thanks Mkuu !!!
 
kumbe mnaweza kiswahili,nilidhani wazungu wanabishana.

Threads za kukopi google na kupesti JF, utadhani hawajui Kiswahili. Kuna mtu aliniambia ETI matusi ya kiingereza HAYANOGI, so jamaa wamerudi kwenye Kiswahili ili WATUKANANE na KUKASHIFIANA. ila mtoa mada ndio amekuwa na jazba badala ya busara!
 

Tunashukuru kwa kutufikiria na sisi (waswahili) mkuu...dole juu
 

safi sana mkuu, haya ndo mambo tulokuwa tunayataka, umeeleza vizuri mkuu. sio wale wa kucopy na kupaste taarifa bila kueleza ni nini.

cc Sangarara

wengine hatujui hata telexfree ipo tanzania.
 
Last edited by a moderator:
safi sana mkuu, haya ndo mambo tulokuwa tunayataka, umeeleza vizuri mkuu. sio wale wa kucopy na kupaste taarifa bila kueleza ni nini.

cc Sangarara

wengine hatujui hata telexfree ipo tanzania.

Kuna watu walishindwa kuelezea hii kitu kwa kiswahili. sasa inaeleweka kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…