MESAYA Member Joined Jan 4, 2012 Posts 55 Reaction score 56 Jan 17, 2019 #1 Milvik Tanzania Ltd (BIMA Mkononi) Dar es Salaam, Tanzania Anwani: Whitestar Complex, Kiko Avenue, Mikocheni, Dar es Salaam 31308, Tanzania Tunapenda kuwatangazia nafasi za kazi Watanzania wote waliohitimu angalau stashahada au zaidi. Majukumu ya kazi Kupokea na kupiga simu kuwapa elimu wateja na kuwauzia Huduma ya Bima. Kuelekeza wateja jinsi ya kulipia huduma kwa usahihi Kusajili wateja kwa usahihi kufuatana na sera na sheria ya kampuni Kujaza na kuhifadhi taarifa za wateja kwa usahihi kupitia kompyuta. Kuripoti changamoto zote zinazojitokeza wakati wa kazi kwa kiongozi. Kushirikiana na kiongozi na wafanya kazi wengine katika jambo lolote lenye umuhimu na tija kwa kampuni. Kuiwakilisha kampuni kwenye kampeni zote muhimu za kikazi. Vigezo Uzoefu wa mauzo na huduma kwa wateja. Ujuzi na uzoefu wa kutumia computer. Ujuzi wa kusikiliza vizuri Uwezo wa kutoa maamuzi sahihi na kutatua matatizo Uwezo wa kujieleza na kuelezea huduma Tafadhali Jaza fomu kisha tuma,hakikisha simu,laptop au kifaa chako unachotumia kutuma kina Data(internet) Milvik Bima Job application Form
Milvik Tanzania Ltd (BIMA Mkononi) Dar es Salaam, Tanzania Anwani: Whitestar Complex, Kiko Avenue, Mikocheni, Dar es Salaam 31308, Tanzania Tunapenda kuwatangazia nafasi za kazi Watanzania wote waliohitimu angalau stashahada au zaidi. Majukumu ya kazi Kupokea na kupiga simu kuwapa elimu wateja na kuwauzia Huduma ya Bima. Kuelekeza wateja jinsi ya kulipia huduma kwa usahihi Kusajili wateja kwa usahihi kufuatana na sera na sheria ya kampuni Kujaza na kuhifadhi taarifa za wateja kwa usahihi kupitia kompyuta. Kuripoti changamoto zote zinazojitokeza wakati wa kazi kwa kiongozi. Kushirikiana na kiongozi na wafanya kazi wengine katika jambo lolote lenye umuhimu na tija kwa kampuni. Kuiwakilisha kampuni kwenye kampeni zote muhimu za kikazi. Vigezo Uzoefu wa mauzo na huduma kwa wateja. Ujuzi na uzoefu wa kutumia computer. Ujuzi wa kusikiliza vizuri Uwezo wa kutoa maamuzi sahihi na kutatua matatizo Uwezo wa kujieleza na kuelezea huduma Tafadhali Jaza fomu kisha tuma,hakikisha simu,laptop au kifaa chako unachotumia kutuma kina Data(internet) Milvik Bima Job application Form
moyafricatz JF-Expert Member Joined Nov 27, 2015 Posts 2,905 Reaction score 4,939 Jan 17, 2019 #2 Be the first to reply. Sent using Jamii Forums mobile app
donocean Member Joined Jan 10, 2019 Posts 72 Reaction score 46 Jan 17, 2019 #3 moyafricatz said: Be the first to reply. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Let me try this Sent using Jamii Forums mobile app
moyafricatz said: Be the first to reply. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Let me try this Sent using Jamii Forums mobile app
Carnivora JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,650 Reaction score 6,028 Jan 18, 2019 #4 Email adress yangu muipate kiurahisi hivyo? Unaweza kuwa mtego huu. Google forms are not safe. Sent using Jamii Forums mobile app
Email adress yangu muipate kiurahisi hivyo? Unaweza kuwa mtego huu. Google forms are not safe. Sent using Jamii Forums mobile app
moyafricatz JF-Expert Member Joined Nov 27, 2015 Posts 2,905 Reaction score 4,939 Jan 18, 2019 #5 Mi nikajua unaogopa mkeo watampata kirahisi.. Kumbe Google email address tu.....??? Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nikajua unaogopa mkeo watampata kirahisi.. Kumbe Google email address tu.....??? Sent using Jamii Forums mobile app
jang JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,415 Reaction score 1,192 Jan 18, 2019 #6 Meraki said: Email adress yangu muipate kiurahisi hivyo? Unaweza kuwa mtego huu. Google forms are not safe. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Fungua another email mkuu, haichukui muda mbona Sent using Jamii Forums mobile app
Meraki said: Email adress yangu muipate kiurahisi hivyo? Unaweza kuwa mtego huu. Google forms are not safe. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Fungua another email mkuu, haichukui muda mbona Sent using Jamii Forums mobile app
Z ze seeker JF-Expert Member Joined May 7, 2015 Posts 329 Reaction score 90 Jan 18, 2019 #7 Poa Sent using Jamii Forums mobile app