Mjomba kazola
Member
- Mar 25, 2017
- 33
- 14
Anhaa! asante kwa taarifa ndugu
Yah! ila me nlkua nazungumzia applicaton form ya chuo ndo 30,000
Application form? Kwahiyo unataka kusema baada ya hiyo application form kutoa 30000 then unakuja unalipa tena 10000 ya TCU? Ndo nitakuwa naskia kwako hili swalaYah! ila me nlkua nazungumzia applicaton form ya chuo ndo 30,000
Blaza NACTE unawalipa 10000 kwa ajili ya verification ila kila chuo utakachoenda ku apply lazma ulipie application form ambayo haiusian tena na 10000 ya nacteApplication form? Kwahiyo unataka kusema baada ya hiyo application form kutoa 30000 then unakuja unalipa tena 10000 ya TCU? Ndo nitakuwa naskia kwako hili swala
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuwa sahihi lakini sio 30,000/- ni 10,000/-.Blaza NACTE unawalipa 10000 kwa ajili ya verification ila kila chuo utakachoenda ku apply lazma ulipie application form ambayo haiusian tena na 10000 ya nacte
Nadhani umenipata
Oky Bro!