hizo devices ulizoandika hapo za simu na laptops zote ungeziweka group moja tu na kuita mobile technology hizo softwares zote unge-group tu pamoja maana software ka whatsapp si kama inatumia system mpya ambayo miaka ya 2000 haikuwepo, programming languages ingawa zinazidi kua simplified ila ni ileile tu......
Miaka 20 ijayo mtu atakua hatoki ndani, kinachotoka ni robot yeye anakua home kavaa VR googles anajiona ka ye ndo lile robot anaanza kutembea barabarani kumbe mwili kauacha maskani... afu tutakua tushakanyaga mars.. na dunia itakua imepungua idadi kwa speed mno maana tunauana pia... au vita ya tatu ya dunia afu wakawepo watu ka bilioni mbili tu
kumeza kidonge chenye virutubisho muhimu ASUBUHI, MCHANA na JIONI(usiku) kila siku! Hakuna habari ya chai,ugali, wali,supu wala michuzi..
Kumpa mimba mwanamke kwa njia bluetooth
africa sasa hivi tunaenda step kwa step, itafika muda tukianza kukimbia tutakimbia kwa speed ya ajabu sana..Shida ni kwamba, sisi Africa tumejiandaaje kukimbizana na hiyo tech??
Kumpa mimba mwanamke kwa njia bluetooth
Habari yetu wana jamvi (mughonile mwe bhakamu bhangu, twamasiku ming). Tusisumbukie lugha hiyo lugha niipendayo kinyakyusa nikijaribu kuwajulia hali.
Leo nimekuja na maada ningependa tuifanyie extraction za hatari sana.
Mpaka kufikia leo tumeweza kujionea teknolojia za kila aina na zingine zinatuzidi spidi tukitaka kwenda pamoja nazo
Mf. Iphone5, ipad. Ipod, macbook air, macbook pro, electronic cigarette, samsung gallaxy, sony z2, bugatte, umeme, internet, wireless services, whatsapp, bluetooth, whatsapp spy, super bluetooth hacker n.k.
Kwa teknolojia ya sasa nazan hata 1.2% ya vitu vyote cjavigusia. Swali ni hili hapa "kwa teknolojia zote unazozifaham sasa unazani baada ya miaka ishirini kutakua na teknolojia gani?"
africa sasa hivi tunaenda step kwa step, itafika muda tukianza kukimbia tutakimbia kwa speed ya ajabu sana..
sasa hivi watu wanaanza kujitambua mdogo mdogo, ujinga ukipungua tutaanza kukimbia na sisi competition itafika miaka ya mbele tutakua tunajidai na sisi kampuni kubwa kubwa ka samsung tunasimamisha devices zinashindana dunia nzima... tupe miaka 20
Iyo itakua poa sana, hasa nikiiona jf na fb ya kinyakyusa, kununua msosi online, haaahaaahaaa imagination bwana raha sana