Pia wabongo tunakurupuk pia km wew tecno w3 zipo aina mbili za 4g for 170dukan ndo hiyo! yan w3 lite, ipo na ya kawaid ambayo pia ukiwa na 150 unaipata asa hiyo ya 130 lbda ni copy coz pia zipo nying dukan kwa wanaodeal na ishu za biashar za cm wanaelewa zaid ya hapo sina cha kukuelewesha lbda tu nikuache uendelee kuamin unachokiamini.