Tegua huu mtego!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,761
Reaction score
128,260
Unadhani ni kwanini Paul Makonda alianza na Star tv akaja TBC1 na sasa anapanga kumalizia na Uhuru fm?

Karibuni Wajuvi.
 
Unadhani ni kwanini Paul Makonda alianza na Star tv akaja TBC1 na sasa anapanga kumalizia na Uhuru fm?

Karibuni Wajuvi.


Ni media za ccm ndio maana... anatafuta kiki ili aweze kwenda media za binafsi kama I.T.V
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…