Tecno Y-6

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
6,155
Reaction score
6,292
nahitaji tecno y 6 mpya kabisa ya dukani kwa anaefahamu bei yake au mwenye duka nije kununua kwake nipo dar mimi na hapa nina 140K.msaada wakuu please
 
Hiyo laki na arubaini tafuta tecno y3, hata y4 hupati kwa hiyo bei.
 
doh!!! hatar wakuu kweli sipatiii?
 
nahitaji tecno y 6 mpya kabisa ya dukani kwa anaefahamu bei yake au mwenye duka nije kununua kwake nipo dar mimi na hapa nina 140K.msaada wakuu please
Utarudi tu jukwaani kuomba msaada na hyo tecno
 
nimeliona hilo mkuu nimeamua kuchkua tu vodafone y 60k ndo afadhal kuliko tecno yoyte ile
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…