Mkuu, huwezi kuuza kwa bei hiyo kwa haraka kama unavyo dai..=Nimeitumia kwa mwezi mmoja tu
=haina tatizo lolote
=imewekewa kioo
=Lengo la kuuza:Nahitaji fedha ya haraka ili nitatue tatizo lililonipata
=Dukani inauzwa 300000/=
=bei nayouza 250000/=
=nipo dar
=hutajuta kuinunua maana ina speed kubwa ya internet, ram ni 2gb, internal storage capacity 16gb.
=Njoo pm tupeane mawasiliano
N
Kweli kabsaMkuu kwa 300000 nakuhakikishia ulipigwa
Mkuu tunaweza ku exchange na Huawei p9 lite=Nimeitumia kwa mwezi mmoja tu
=haina tatizo lolote
=imewekewa protector ya kulinda kioo
=Lengo la kuuza:Nahitaji fedha ya haraka ili nitatue tatizo lililonipata
=Dukani inauzwa 300000/=
=risiti ipo
=bei nayouza 250000/=
=nipo dar
=hutajuta kuinunua maana ina speed kubwa ya internet, ram ni 2gb, internal storage capacity 16gb.
=Njoo pm tupeane mawasiliano
Unapatikana wapi boss. Nitafute pm tufanye biashata=Nimeitumia kwa mwezi mmoja tu
=haina tatizo lolote
=imewekewa protector ya kulinda kioo
=Lengo la kuuza:Nahitaji fedha ya haraka ili nitatue tatizo lililonipata
=Dukani inauzwa 300000/=
=risiti ipo
=bei nayouza 250000/=
=nipo dar
=hutajuta kuinunua maana ina speed kubwa ya internet, ram ni 2gb, internal storage capacity 16gb.
=Njoo pm tupeane mawasiliano
Nitumie mawasiliano yako=Nimeitumia kwa mwezi mmoja tu
=haina tatizo lolote
=imewekewa protector ya kulinda kioo
=Lengo la kuuza:Nahitaji fedha ya haraka ili nitatue tatizo lililonipata
=Dukani inauzwa 300000/=
=risiti ipo
=bei nayouza 250000/=
=nipo dar
=hutajuta kuinunua maana ina speed kubwa ya internet, ram ni 2gb, internal storage capacity 16gb.
=Njoo pm tupeane mawasiliano
Mwenzio anasema ana shida ya pesa we unaongelea kubadilishana duuuh!!!Mkuu tunaweza ku exchange na Huawei p9 lite
Nakupa 180000 ila naomba risiti ya EFD machine ndio inatambulika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]=Nimeitumia kwa mwezi mmoja tu