Tafadhalini Msaada wa hili tatizo,ninapojaribu kuupdate whatsapp na fb inatokea insuffient storage available. nini tatizo?
install c cleaner ipo play store then yenyewe itakusaidia kuhamisha apps nyingi ambazo zipo kwenye internal memory ya simu yako.
am using that and it is pretty good
Thanks kwa kushauri, swali je ukisha install, hiyo application ina clean yenyewe au unatakiwa. ufanyeje?
Unachotakiwa kufanya ni ku uninstall all apps alafu uanze kuingiza upya ukianzia na hizo whatsapp na fb maana ni wazi ndizo zinachukua nafasi kubwa.
You just uninstall all your apps and install again.
Uninstall will help your device to get sufficient memory to keep whatsapp and facebook apps.
install c cleaner ipo play store then yenyewe itakusaidia kuhamisha apps nyingi ambazo zipo kwenye internal memory ya simu yako.
am using that and it is pretty good
install c cleaner ipo play store then yenyewe itakusaidia kuhamisha apps nyingi ambazo zipo kwenye internal memory ya simu yako.
am using that and it is pretty good
Unatakiwa wewe ndio uicommand kama either unafuta au kumove apps from one storage to another. It is very easy to use after installing it
Ok, hiyo inayoitwa C-cleaner ukisha install, ukienda kwenye Manage Application utakuta uwezekano wa kucopy kutoka Internal Storage to sd card, lakini cha ajabu inakataa, wakati internal storage iko na nafasi ya kutosha. Tukubali tu hapa jamaa waliotengeneza smartphone wametutega, mara nyingi sd card zinakubali hadi angalau mb 300 tu. Natumia sony xperia na Huawei Ascend zote ukiweka program zenye nafasi kubwa kama fb, yahoo na nyingine inakuja alama ya disk. Hapa wametutega wandugu
Tafadhalini Msaada wa hili tatizo,ninapojaribu kuupdate whatsapp na fb inatokea insuffient storage available. nini tatizo?