Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,288
- 2,597
Bei yake!View attachment 3327191
๐ก Kampuni ya Tecno katika toleo la simu Bora kwa mwaka 2025 basi hii ni ๐ง๐ฒ๐ฐ๐ป๐ผ ๐๐ฎ๐บ๐ผ๐ป ๐ฐ๐ฌ ๐ฆ๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ฒ๐ wametisha sana humu ndani kwa feature zake za kibabe sana.
๐ธ Achana na Yote Leo nakuambia kuhusu Teknolojia hii ya ๐๐๐ซ๐ข๐ฌ๐๐จ๐ฉ๐ ๐๐๐ฅ๐๐ฉ๐ก๐จ๐ง๐ ๐๐๐ฆ๐๐ซ๐ iliyopo kwenye Tecno ni babu kubwa mnoo. Inakupa uwezo wa kuvuta kitu kilicho mbali kuwa karibu kwa ubora wa hali ya juu.
View attachment 3327192
๐ญ Inaweza ๐ธ๐๐๐ผ๐ผ๐บ ๐บ๐ฝ๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ ๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ๐, ila kubwa zaidi ni kuhusu Kamera zake inatoa picha kali kwa upande wa picha za kawaida na video haswa zile za Outdoor ikiwa na mwangaza Bora kabisa.
View attachment 3327194
View attachment 3327195
๐ธ Sina shaka kabisa upande wa picha, video na zoom super 1000x Quality so fantastic ๐ฅ๐ฅ, ni rafiki kwa kila mtu yani ukitumia utaweza ku enjoy sana.
Kwa msaada zaidi Tembelea @tecnomobiletz Instagram na @bongotech255
Si useme tu machoa manneView attachment 3327191

Hamna simu humo. Kwani wenzetu mkiendaga buchani mnachagua nyama ya shingo wakati kidari kipo?Ngoja nimletee Vivo X200 Ultra, huyu ndio bingwa sasa.View attachment 3327223
Unaijua Vivo X200 Ultra?Hamna simu humo. Kwani wenzetu mkiendaga buchani mnachagua nyama ya shingo wakati kidari kipo?
Hizi ndio nzuri, unamzoom mtu hata akiwa mbali hajuiView attachment 3327191
๐ก Kampuni ya Tecno katika toleo la simu Bora kwa mwaka 2025 basi hii ni ๐ง๐ฒ๐ฐ๐ป๐ผ ๐๐ฎ๐บ๐ผ๐ป ๐ฐ๐ฌ ๐ฆ๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ฒ๐ wametisha sana humu ndani kwa feature zake za kibabe sana.
๐ธ Achana na Yote Leo nakuambia kuhusu Teknolojia hii ya ๐๐๐ซ๐ข๐ฌ๐๐จ๐ฉ๐ ๐๐๐ฅ๐๐ฉ๐ก๐จ๐ง๐ ๐๐๐ฆ๐๐ซ๐ iliyopo kwenye Tecno ni babu kubwa mnoo. Inakupa uwezo wa kuvuta kitu kilicho mbali kuwa karibu kwa ubora wa hali ya juu.
View attachment 3327192
๐ญ Inaweza ๐ธ๐๐๐ผ๐ผ๐บ ๐บ๐ฝ๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ ๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ๐, ila kubwa zaidi ni kuhusu Kamera zake inatoa picha kali kwa upande wa picha za kawaida na video haswa zile za Outdoor ikiwa na mwangaza Bora kabisa.
View attachment 3327194
View attachment 3327195
๐ธ Sina shaka kabisa upande wa picha, video na zoom super 1000x Quality so fantastic ๐ฅ๐ฅ, ni rafiki kwa kila mtu yani ukitumia utaweza ku enjoy sana.
Kwa msaada zaidi Tembelea @tecnomobiletz Instagram na @bongotech255
Sent using infinix x559Amna kitu apo ebu tafuta Samsung s24 ..... Achana na huo uchafu...
Haya mambo ya kuangalia uwezo kwa namba usiyatilie maanani sana nimewahi kulinganisha Sony ya zamani tena ya keyboard ya kawaida yenye 5mega pixel na Nokia smartphone ya 13 mega pixel ya Sony ilikuwa na picha bora zaidi.Kwenye namba udanganyifu sana.Ngoja nimletee Vivo X200 Ultra, huyu ndio bingwa sasa.View attachment 3327223
Mjomba simu ikishakuwa na processor ya MEDIATEK nayo simu? Hebu achana bana na simu za Umoja wa kina MamaUnaijua Vivo X200 Ultra?
Kwani hiyo ni Tecno..... Tulia ww hahaha ๐คฃ ๐ ๐Sent using infinix x559