Tecno J7 inauzwa 130,000/=

Kuna mtu anataka ila kwa elfu 80 vipi unaweza kufanya biashara?
 
Haya toa bei ya kuuzia kama ilivyo desturi yetu ili uuze mzigo, hiyo uliotaja awali inabana
Bei iko hapo juu ni tshs 130,000/= mkuu .

Simu iko kwenye hali nzuri na colour yake ni magnificent.

Karibu ndugu!
 
Tatizo tunaweza kuwa waungwana ila wewe ukatuuzia kisicho cha uungwana. Sasa weka picha zote na useme kwanini unaiuza ili tumalize sasa hivi mkuu.
Naiuza sababu nimenunua nyingine ambayo ni latest zaidi ya hii hapa. Wengine sisi ni "chizi simu" ukitoka simu mpya hima tunadaka na kuendelea na maisha.

Siwezi kupandisha simu zaidi hii application inasumbua hapo nimejitahidi saana.

Karibu mkuu!

Mkuu kuna 100,000 ya haraka haraka hapa
Kama kweli ni potential customer...fika bei maana actual price yake ilikuwa 150,000/= sema sikutaka kusumbuana saana nikaweka bei yangu ya kuuzia.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…