Techno Camon CX Air

Mkuu weka picha za simu halisi. Halafu je upo tayari kushuka bei mpaka fedha taslimu 180,000??

Kama unayo simu hiyo tuwekee picha hapo. Naijua ni simu nzuri sana.
 
Mkuu hiyo simu imenunuliwa tar 30 Jan 2018, mlengwa kaikataa, you can just guess it's condition.

Less than 240,000 ni ngumu mzee, simu imenunuliwa kwa 300,000 jana. So kuna disc ya 60,000.
Mimi offer ya mwisho nadhani ni 200,000 tu kwa kweli. Zaidi ya hapo hapana
 
Iyo ni simu au takataka huoni aibu kutumia takataka iyo unaiita simu???
Kumbe ndio maana...
=====
Stanley Mitchell said: ↑
Habari za mwaka
mpya wadau
-Naombeni msaada wenu nina miaka 23 nimekua na tatizo la nguvu zetu kwa
muda mrefu sana. Sijawai kusex mpaka sasa.

-Nikiwa na hamu nikifika kwa demu after foreplay hamu inakata kabisa.

-Si-erect 100% enough kwa penetration.
-Punyeto napiga sometimes then na-cumm tu kama kawaida ( naamini
punyeto sio chanzo kwani tatizo lilianza hata kabla sijajua punyeto)

-pia naamini sio tatizo la kisaikolojia naamini ni tatizo la "kiufundi"
zaidi.

-siamini kama nitafiti kwenye definition ya "hanisi" kwa kua
'nashutuka' japo sio tosha kwa kujamiiana.

Hivyo basi naombeni kwa hali na mali wadau wa jamii hii kubwa kunisaidia
sana kwani naamini miongoni mwetu kuna walishapatwa na tatizo kama
langu ama kwa jamaa zao .

Nahitaji msaada wenu kwani pamoja na mambo mengine naona umri wa kuoa na
kua na familia ushafika ama bado kidogo (inategemea).
Napatikana kwa urahisi sana Dar ama mikoa ya Kaskazini (moshi, arusha,
tanga sio mbaya pia) japo haina shida msaada ni popote pale.

Asante wadau na Mungu awabariki sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…