Team water baby,lazima tuwe weupe

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,961
Reaction score
3,698

Kwenye mitandao ya jamii toka asubuhi ya leo, habari inayotikisa ni 'Unywaji wa maji kwa wingi ili uwe mweupe' na hii imetokana na kauli aliyoitoa mwigizaji wa Bongo Movie, Ray Kigosi, kuwa yeye hajajichubua bali kunywa maji mengi ndiko kulikomfanya awe mweupe. Hiyo imepelekea kuanzishwa timu kwenye mitandao ya kijamii inayoitwa 'Team Water Baby' ambao kila mmoja anatupia picha akiwa anakunywa maji huku wengine wakiogelea ili wawe weupe.

comment chochote kama muigzaji huyu amekufurahisha siku ya leo
 
ha hahaha ray alichemka angesema tu anatumia cream gani apige promo product ile
 
hapa ray kadanganya huo ni mkotogo tuuu. maji yanaweza saidia ngozi ikawa soft soft na kung'aaaa isiwe na mikunjo. lakini weupe hapana, nakunywa karibi lita saba kwa siku na ngozi ni black mamba ya hatari ila soft mbona siwi mweupe labda kuna maji spesho
 
Utakua haunywi kwa usahihi..kuna formula yake ahahaha.
 
Hata kama maji yanafanya ngozi iwe nyeupe, nywele je?
 
Ray akatafute watoto awadanganye eti maji na mazoezi ule ni mkorogo pure
 
team water
 

Attachments

  • 1455891875034.jpg
    13 KB · Views: 76
  • 1455891886228.jpg
    33.6 KB · Views: 67
  • 1455891911096.jpg
    15.5 KB · Views: 65
Ni nani huyo mnayemzungumzia? Anachezea timu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…