Ndo mana magu akashusha 1gb-0.5gb bando...wauweeee[emoji3][emoji3]
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Word!Imagine hawa ni wanawake wanakaa kbs kuanza kumdhalilisha mwanamke mwenzao kiasi hiki.
Hivi wanafikir wanamkomoa zari? Ukweli zari is far more better kuliko jumla ya hiyo team yote. And hapo wanazidi kuwapa wanaume fimbo ya kutugonga vichwan
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hao hao wanasema wamedhalilishwa.....Imagine some women devoted there time and energy wakiyafuta ukombozi wa mwanamke agu Leo hao hao ambao Bado hata hawajakomboka wanaanza kutukanana na kudhalilishana mitandaoni.
Unafkir ukombozi utafika? Mama mongella Pole sana kwa kweli hukustahili kulipwa haya na sisi wanawake
Sent using Jamii Forums mobile app
Utafikiri walikuwepo zari akiandika.Bitch is dying fo fame ...hahahahaha hakika Diamond unajua kula sahani moja na waswahili wenzio..yani kombora moja wote wana lia lia oooh aliyepost ni Zari oooh tumedhalilishwa......
Imagine hawa ni wanawake wanakaa kbs kuanza kumdhalilisha mwanamke mwenzao kiasi hiki.
Hivi wanafikir wanamkomoa zari? Ukweli zari is far more better kuliko jumla ya hiyo team yote. And hapo wanazidi kuwapa wanaume fimbo ya kutugonga vichwan
Sent using Jamii Forums mobile app