kama kawaida yao tcu wamepuyanga kwa mara nyingine mdogo wangu jina halikuja kwa wenye multiple selections ila amechaguliwa vyuo viwili N.I.T na SAUT mwanza sasa hapa hajui afanye nin maana hata hizo code zao nadhan hatopata coz jina lake halikuwemo kwa walichaguliwa chuo zaid ya kimoja ..nasema nyie TCU ni genge la vibaka linaloharibu utaratibu wa udahili wa wanafunz mtumbuliwe na muondoshwee