Mkuu Ting imetia fora. Hakifai!!we nawe star times ni majanga zaidi kinakata taarifa zote zinazowakosoa serikali! Vyote hivyo ni tatizo labda Azam ndio kiboko
Hiki king'amuzi n shida kweli kweli...
Kwa wiki unaweza pata Masafa siku tatu tuu na wakat mwingine wiki inaisha hakuna masafa.
Utaona kinakwambia.. NO SIGNAL.. Ukiwapigia simu hawapokei wala kukupigia..
Kimsingi wanatuibia fedha zetu waziwazi..... Na wanafanya makusudi kubana matumiz..
Napenda pia kutoa rai kama kuna mtu anataka kukinunua ni bora akaachana na mpango huo bora ununue start times ni kizuri mno... Huyu muhindi Alinandezi hafai hata kuigwa si mtu wa Mungu Bali mwizi mkubwa.
Naomba mamlaka husika mlione hili na mchukue hatua Kali hata kuwafungia daima
Weye ni muongo startimes nuksiHiki king'amuzi n shida kweli kweli...
Kwa wiki unaweza pata Masafa siku tatu tuu na wakat mwingine wiki inaisha hakuna masafa.
Utaona kinakwambia.. NO SIGNAL.. Ukiwapigia simu hawapokei wala kukupigia..
Kimsingi wanatuibia fedha zetu waziwazi..... Na wanafanya makusudi kubana matumiz..
Napenda pia kutoa rai kama kuna mtu anataka kukinunua ni bora akaachana na mpango huo bora ununue start times ni kizuri mno... Huyu muhindi Alinandezi hafai hata kuigwa si mtu wa Mungu Bali mwizi mkubwa.
Naomba mamlaka husika mlione hili na mchukue hatua Kali hata kuwafungia daima
Tena mwisho wa mwezi huu wanatarajia kuongeza chanel nyingine,Nunueni azam tv tunakula bata tu kwa 12500 kwa mwezi. Vodacom premier league, mwezi huu wanaanza onyesha league ya uganda na burundi. Usisahau league one. Serial , na ujerumani through zbc 2 and urban tv.