^^
Basi nikadhani nimekosea ufungaji wa antena!!
CONTINENTAL ARUSHA wanakera sana, tena sana. Simshauri mtu kununua decoder hii. Kwanza
Ukiwapigia simu hawapokei,
Picha angavu wanazosema ni lugha ya kuvuta wateja hawana lolote.
Hata level ifike 90 au 100 haina mabadiliko yoyote.
Wanachezea pesa zetu tu!
Kama hampo tayari kwa digitari si muache tu!
I hate you for real
^^