LEDV700Q3DVp ina built in decoder(DVB S2) Model number ...weka namba ya cm
Sorry ni TCL LED55V7300Q3DVp ina built in decoder(DVB S2) Model number ...weka namba ya cm
NI TCL LED55V7300Q3D ilikuwa shida kuipataVp ina built in decoder(DVB S2) Model number ...weka namba ya cm
hiyo DVB inatumika kufanyia nn? maana kwangu naiona kwenye source lakini sijui matumizi yakeVp ina built in decoder(DVB S2) Model number ...weka namba ya cm
hiyo DVB inatumika kufanyia nn? maana kwangu naiona kwenye source lakini sijui matumizi yake
Sent from my MI NOTE Pro using JamiiForums mobile app
Cm yangu imekuwa mbovu,laptop ya mac yangu haiendani ma jf taabu tupu600k huchukui boss
Kama uko siriaz pm pls sorry cm inasumbua600k huchukui boss
Nenda google andika hiyo model number hapo juu iko hivyo hivyoMi natamani kuiona picha za mchana nione yenyewe sio picha zake
Pm hapa jamaa zangu mtaani na ndg itakuwa shidaaaNIpe namba we mzee twende hewan
Mkuu mimi sitaki kuona mashine inafananaje nataka kujua unayouza inaonekana katika condition gani,yan unauza gari alafu unamwambia mtu kafungue beforwad uone gari ipoje?Nenda google andika hiyo model number hapo juu iko hivyo hivyo
Mashine zote zenye 1920x1080 resolution ziko vizuri.
Nimeweka picha zile kwasababu hapa bongo hakuna channel au kituo kinarusha HD ni channel moja tu full HD ya Nabii GeorDavie wa Arusha nyingine zote zinachafua mashine za watu
Nimekusoma. Sio mpya nitajitahidi kuweka picha kesho ila TCL kwa upande wa kushoto na kulia na juu unene wa board ni kama inchi moja kote ila pale chino ina unene wa angalau kam inchi 2 hivi. Hivyo ni Kioo tupu. Basi nitapiga kioo bil picha. Pembenini board ni silver TCL ni nyembamba sana pembezoni kioo kimejaaMkuu mimi sitaki kuona mashine inafananaje nataka kujua unayouza inaonekana katika condition gani,yan unauza gari alafu unamwambia mtu kafungue beforwad uone gari ipoje?
Mkuu mimi sitaki kuona mashine inafananaje nataka kujua unayouza inaonekana katika condition gani,yan unauza gari alafu unamwambia mtu kafungue beforwad uone gari ipoje?