toka tido mhando ameondoka hawa jamaa wamekuwa wababishaji ni kwere, yaani nimetafuta google hata sijaipata, nlitaka kuidownload.
ha ha ha ha mkwe wa maudodo ni kwere, maza kipere sana, angekuwa mkwe wangu ningekimbia nyumba
TBC ndivyo walivyo, tunaomba ITV, StarTV n.k zichukue program MOUDOUDO ianze mwanzo. TBC vipindi vyao havieleweki, vinakatishwa ovyoooo, vinarudiwa rudiwa yani sio ya kuangalia kabisa, hv hamuoni aibu, shame on TBC
ovyoo kabisa wametukatisha uhondo wa maudodo na kaka yake mwenye vituko kila kukicha.basi toeni taarifalkn wapo kimya hii ni station ya magamba.
nadhani huyu ni mgeni na tbc,naona kama tbc hawataki kuwa na burudani zaidi ya vile vipindi vyao vya ngoma za asiliWewe ni mgeni wa hawa TBC1?
Uko kidato cha ngapi mkuu?Bora tu, scul tulikuwa hatupumui kila mtu moudodo moudodo. now hamna usumbufu wa kijinga na chaneli zingine wafute tu upuuzi wa tamthilia.
Sikuwahi kudhani hii tamthilia ina wafuatiliaji wengi tena watu wazima "dubbed chinese soap".Ilikuwa kila nikikutana nayo nabadili channel haraka.Dah,kweli tupo tofauti!