Kikao cha bunge tayari kishaanza, ila cha kushangaza mpaka sasa hivi TBC hawajaanza kuonyesha yanayojiri huko.Je, kuna ajenda wanayotaka kuificha wananchi wasiijue au tatizo ni nini hasa? coz tuna kiu ya kujua yanayoendelea mjengoni

Wakuu hebu tusaidieni na sisi wengine. Hivi hakuna link yoyote inayorusha matangazo ya TBC1 au Star Tv?. Hawa Tv4 Africa wana channels za ITV na EATV tu...channel yao ya TBC1 inarusha matangazo ya TV Mozambique.
Please mwenye link hata ya redio tu ili nasi tufuatilie mijadala ya bunge.