KWENYE TAARIFA ZAENU ZA HABARI HASA MNAPO RIPORT TAARIFA ZA BUNGE LA KATIBA KWENYE SI MARA MOJA MNAKOSEA JINA LA MWENYE KITI WA MUDA MNAANDIKA PUNDA BADALA YA PANDU KIFICHO:faint2:
Jina lake ni Pandu, sasa hilo la Punda limetokawapi?.Jina ninalofahamika la Waziri Mkuu ni Pinda, na la Mwenyekiti ni Pandu. Labda TBC ilikosea kwa bahati mbaya kuliandika jina la Mwenyekiti na kuliita la huko Songea.
KWENYE TAARIFA ZAENU ZA HABARI HASA MNAPO RIPORT TAARIFA ZA BUNGE LA KATIBA KWENYE SI MARA MOJA MNAKOSEA JINA LA MWENYE KITI WA MUDA MNAANDIKA PUNDA BADALA YA PANDU KIFICHO:faint2:
TBC wana mambo mengi sana ya kurekebisha ili warudishe ile heshima ya TBC enzi za Mhando aliyehamia Mwananchi. sio tena tv ya taifa. mimi ningekuwa na uwezo ningezuia kodi zetu zisiende kwao.
TBC inasumbua sana huku Kigoma hasa wale tunaotumia Dish za futi sita,iweje ITV iwe na signal kubwa kuliko televisheni ya taifa? Scratch ni nyingi sana mpaka inakera.