vidacom wamekuwa wakilalamikiwa mda mrefu sana kwa huduma zao nyingi zinazotiliwa shaka lakini serikali yetu imekaa kimya, wizara ya mawasiliano kimya, tuliyata wenyewe, wacha tusubiri tu 10 years...manake tukilalamika sana mwishowe watatuambia wachochezi...wacha tuumie kwani tulitaka kuumia wenyewe.