Wadau habari, naomba kuuliza hivi viwanja vinavyouzwa tausi ukishalipia Instalment ya kwanza ikatokea ya pili umefeli kulipa kwa wakati, je ile pesa ya kwanza ndiyo umepoteza na kiwanja unanyang'anywa au hii imekaaje wadau, Asante