Tatizo wakati kuingiza VBV secure code kwenye website ya CRDB

cc12

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
1,018
Reaction score
397
Salaaam Wakuu

Nimekuja kwenu nina ttz katika website ya CRDB, nilijisajili na huduma ya Internet Banking nikatumiwa code VBV secure code lakin kila mara nikijaribu kingiza naambiwa system is not available sasa nimekwenda ofisini kwao wanasema ninende na PC na Moderm najua mim si wakwanza kabla sijaenda huko naombeni msaada wakii

CC Chief-Mkwawa Donn ymollel Mwl.RCT mickey.T

 
Last edited by a moderator:

Hahahahahaha imenibidi nicheke huu uvivu wa kusoma utatuua wabongo, me too nilipatwa na hili tatizo it took me a week kisa ujinga tu hebu soma kwenye screenshot wamekuambia before registration ufanye nini? Wewe umeandika code uliyotumiwa instead.
 

Attachments

  • 1427976679875.jpg
    31.7 KB · Views: 295
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha imenibidi nicheke huu uvivu wa kusoma utatuua wabongo, me too nilipatwa na hili tatizo it took me a week kisa ujinga tu hebu soma kwenye screenshot wamekuambia before registration ufanye nini? Wewe umeandika code uliyotumiwa instead.


hahaha hiyo typing error nimewahi mbele ila nilikuwa na maanisha ukianza na number ya card ttz ilo linakuja mkuu
 
Mara ya mwisho nimeongea na CRDB niliambiwa hii Online Banking bado haijaanza operation. Sijui endapo tayari inafanya kazi sasa hivi. Lakini ni vema ukaenda kama walivyo request
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…