kuna best yangu ana apple ipad 4 amesahau password je kuna njia ya kuiformat au njia gani afanye kuifungua,c mjanja sana wa ipad na hata mimi c mzoefu nazo.Ahsante
kuna best yangu ana apple ipad 4 amesahau password je kuna njia ya kuiformat au njia gani afanye kuifungua,c mjanja sana wa ipad na hata mimi c mzoefu nazo.Ahsante
kama ni Apple ID hakuna njia nyingine ya kuUnlock zaidi ya kuweka Original Apple ID password. Kama ni pass code lock mwambie huyo best wako aiSyncronise kwenye computer ya mwisho aliyofanyia synchronization kabla haijajilock, ''pass code lock'' itatoka...