Tatizo ni nini Wadada katika hili??

Zamani mdada hadi kuolewa, ungekuta katembea na MTU mmoja au wawili. Akienda sana watatu kwa nyakati tofauti.

Tofauti na sasa ambapo unawezakuta Dada hadi kufikia kuolewa, anakuwa na orodha ya watu wengi wenye kila aina ya siraha waliopita kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi tunakojoa kwenye vyoo vya kisasa hatukojoi njee kama zamani
 
MAGWANGALA/single mother (used) achimbe shimo wapi na wapi??[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…