Wakuu habar za muda huu naombeni msaada. Laptop ni Lenovo Ultrabook S400u nimepiga driveya packsolution lakini naona kuna drive imegoma ku install View attachment 1712311
heading inasema ni win7, hii imekwisha muda wake wa kupata latest updates, ushauri wangu upgrade kwenda win10 itakusaidia sana hasa kupata security updates za computer yako, window 7 hackers wanaitumia kuipa files na ukiiweka kwenye mtandao tu wameipata na watakulipisha ili uweze rudishiwa data/taarifa zako....ila km hutojali...connect hio pc yako kwenye mtandao...right click halafu update drivers itazipokea automatically toka kwenye mtandao.