Kikubwa tumwambie shibuda hafute jarada la kumshitaki mhariri mkuu wa Tanzania daima makao makuu ya jeshi na Prof muhongo arudi kufundisha SA na tukiweza wananchi wenye mapenz na nchi hii kuvamia songa's nakuchapa wazungu wote na umeme utakuepo milelee......
ccm+kikwete=mgao.lowasa alitumwa na kikwete.angalia mfano mdogo.barabara ya namtumbo-tunduru walisitisha mkataba na wahindi.sasa kuna tetesi kuwa wahindi wameshinda kesi wanaludi mwezi wa tisa.toka lini muhindi ni mtaalamu wa barabara?Lowassa + Richmond + CCM =MGAO WA UMEME.
Hata mimi sijui Chanzo Cha Umaskini, hebu niambie!Yani hata hili hujuhi? Sasa unafanya nini duniani? Au ndio unaishi ili ule?
Huna tofauti ya yule asiuye jua chanzo cha umasikini.