Nashukuru sana kwa ushauri ndugu yangu,
Daktari aliyefanya kipimo alisema stage ya hiyo hernia sio kubwa ni ya kutibu na dawa haihitaji operation,
GERD ndio ipo hatua ya pili japo pia alisema nitumie dawa
Najiuliza kama nikibadili life styele na kutumia dawa Hali ikatulia bado kutakuwa na ulazima wa Kuendelea na dawa?
Asante sana kwa ushauri wako,najitahidi sana kufuata masharti japo ni magumu ila nimeamua kuyafuata, namuomba Mungu anisaidieUkibadili mfumo wa maisha ukaweza ku-control hernia, likely utaweza kutumia kwa muda dawa ili kuondoa athari zilizosababishwa na GERD kwenye njia ya chakula.
Kama athari za GERD zitakuwa zimeisha na hernia iko-controll hapo unaweza kusitisha dawa na kuendelea very strictly na mwenendo wako wa maisha ili ku-control hernia ili usipate GERD.
Asidi inakuwa nyingi sana tumboniMkuu tunaomba uandike na dalili zako maana naona kama na mimi bina hilo gonjwa
Kuna article hapo juu imeeleza kwa kirefu mkuu,hebu jaribu kuipitia.JAMANI HUU UGONJWA UFAFANUZI KIDOGO
Asante sanaPole sana...
Asante saanUnapona kabisa ukipatiwa dawa na ukabadili life style especial cut off all acidity foods.
Asante sanaUnapona kabisa ukipatiwa dawa na ukabadili life style especial cut off all acidity foods.