Tatizo la simu yangu baada ya kurestore

Mrukus

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
396
Reaction score
192
Habari yenu wanajamvi

Wakuu nina simu hapa inanisumbua ni baada ya kuirestore inasema ''unfortunately setup wizard has stopped
 
ili uweze kusaidiwa ni vizuri kuweka aina ya simu na model number yake kabisa
 
Clear cache via recovery. Kama una custom recovery clear dalvic cache. Naamini itasolve hiyo issue
 
Seems ur fuked up...better start googling for another rom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…