Habari zenu wana jamii wenzangu,nahitaji msaada iPhone yangu imekata sauti ghafla...yan nikiplay mziki au video ile volume bar inapotea so sauti haitoki lakini ukichomeka earphone sauti inasikika vizuri tu.Pia ukiwa unabadili ringtone sauti inatoka.Tatizo ukitoa earphone tu volume bar inapotea na husikii chochote.Msaada plzz kwa anayefahamu suruhisho la tatizo
Hiyo njia ya kwanza nilishaifanya bt haijasaidia,may b nijaribu hiyo ya pili,yap my iPhone is jailbroken.