PC yangu ilizimika ghafla,nikaiwasha haikuwaka badae nikatoa beteri nikaiunga direct badae Ikawaka
Ikaleta mandishi haya....
BOOTMGR is missing......Press Ctrl+Alt+Del to restart
nikafanya kama ilivoelekeza lakini bado tatizo lilelile yanajirudia maandishi Yale.
kwa wataalam was PC tatizo linaweza kuwa ni nn,ushauri labda..
Nawasilisha jamani
(PC aina ya Samsung)