Tatizo la nafasi kwenye Flashdisk ya kingstone

middo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
207
Reaction score
56
Habar wadau, nmenunua flash ya kingstone 16Gb baada ya kuitumia kma wiki 2 sasa naona siielewi! nikiiweka kwenye laptop inaonesha inavitu vilivyokula kama 7Gb ila nikiifungua inaandka empty.

Nimejaribu kuformat ila kla ntakapoweka vtu inaonesha vmeingia ukiifungua empty. Vip wadau ndo imekufa ama nn?
 
Hiyo ni fake tafuta nyingine tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…