Kama heading inavyosemeka hapo juu, nimejiumiza mara nyingi sana kwa kujing'ata ulimi kwa meno niwapo usingizini.
Naweza kuamka na kuhisi maumivu makali sana ya ulimi huku nikiwa nimeshajing'ata kwa nguvu mno ulimi kiasi cha kujipa majeraha. Hii hutokea upande wa kushoto au kulia mwa ulimi, yaani najing'ata kwa kutumia magego.
Kitaalam naweza kuwa na tatizo lolote!?