nxon JF-Expert Member Joined Jul 16, 2011 Posts 1,162 Reaction score 408 Mar 31, 2012 #1 Kuna jamaa yangu anatumia laptop aina ya sony, ina tatizo la baadhi ya key pad zinagoma ku type na mara nyingine ukibonyeza herufi M ina ina type herufi nyingie tofauti. Wataalamu wa mambo ni nini tatizo?
Kuna jamaa yangu anatumia laptop aina ya sony, ina tatizo la baadhi ya key pad zinagoma ku type na mara nyingine ukibonyeza herufi M ina ina type herufi nyingie tofauti. Wataalamu wa mambo ni nini tatizo?