amoneyazan
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 698
- 473
Habari zenu wakuu
Leo nimependaa kushare tatizo hili linalosumbua ili kupata solution na kufahamu kwenu nyie wenzangu inakuajee
Iko hivi
Kwa siku za hivii karibunii imetokea tatizo moja katika PC yangu , ninapokua na browse adds zinajitokezaa nyingii mpkaa nashindwaa kufanyaa nachotaka mtandaonii
Sasaa imefikiaa hatuaa hataa nikiandikaa website yoyote mfano www.jamiiforums.com haifunguii jamii forum badala yake ina ni direct kwenye web zinginee kituu kinacholetaa usumbufuu na kero kubwa
Web ambazoo wanapenda Ku direct zaidi ni moja inaitwa flirch kama sjakosea kidada kinajitokezaa kinachezaa chezaa
nyinginee ni alibaba ya products mbalii mbalii
Nimejaribu kwa browser ya Mozilla na Google chrome lakin tatizo linaonekana kote
Naombaa msaada kwa wenye ujuzii na haya maswala ya mitandao ni nini tatizoo ? Na solution ni ipi ?
Natanguliza Shukranii

Tumia browser hii Maxthorn Maxthon Cloud Browser | Fast & Secure Browsers | Download Maxthon Web Browser Free
Itakuwa una malware kwenye computer. Download malware removal application zipo nyingi for free
Hiyo ni malware au adware kwenye machine yako, kutakoa na program ya ajabu ajabu umeinstall imekuchomekea hiyo.
Kwanza hakikisha una AV, nashauri Windows Security Essentials kwa Win 7, WIn 8 kwenda juu inakuja nayo built in inaitwa Windows Defender, hakikisha ziko updated.
Then download anti malware, always nilikuwa naipenda Malware Bytes Free (https://www.malwarebytes.org/downloads/) ila sijapata hili tatizo miaka sasa, washa Scan for Rootkits then fanya full scan ya machine.
Kama bado tatizo linaendela fuata maelekezo yote hapa https://www.reddit.com/r/techsuppor...ested_reading_official_malware_removal_guide/
Ukishafanikiwa kuwa mwangalifu software unazoinstall unazitoa wapi.