dariri za mimba changa
pole mdogowangu, nenda hosp.
dariri za mimba changa
Inaeza kuwa ulcers (vidonda vya tumbo ) pia kaka......used to have such symptoms...nikienda kupima naambiwa mara amoeba...mara minyooo lakini shida ilikuwa ulcers....nikaandikiwa dawa inaitwa Heligo Kit sijaumwa tumbo wala kupata maumivu tangu mwaka 2009..
Tumia Dawa zangu hizi mojawapo kisha uje hapa unipe Feedback.Habari wadau
Mimi ni jinsia ME na umri 27
Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kuchafuka na kichefu chefu kikali. Kila asubuhi mara nyingi tumbo linachafuka hapo naweza jiskia kwenda haja nikienda natoa kitu kama mapovu tu au naharisha hali inayoendelea mpaka ntakapotapika ndo linarudi katika hali ya kawaida.
Mwanzoni nilizani labda ni minyoo nimemeza albendazoe wapi nikatumia tiba asili ya kitunguu swaumu(according to Mzizimkavu) lakini wapi hali ya kichef chef na kuvurugika inapotokea hospital wakanishauri nitumie dawa flan yaitwa Nosic wapi no changes.
Nipo dilema hata cjui ni tatizo gani hebu nishaurini nikapime nn labda au nianzie wap hili tatizo.Naomba jopo la wataalam tafadhali mnisaidie
Habari wadau

Haya ndo mambo mimi nataka.Nambie mkuu ulienda hospal gan au kwa docta nani niende na walikupima nini na nini?