Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,312 Reaction score 8,754 Jun 2, 2017 #1 Tarehe kama ya Leo Mwaka uliopita ikumbukwe kwamba simu feki zilizimwa na TCRA! je wewe unakumbuka nini tarehe kama ye leo! Ni mimi TheMason
Tarehe kama ya Leo Mwaka uliopita ikumbukwe kwamba simu feki zilizimwa na TCRA! je wewe unakumbuka nini tarehe kama ye leo! Ni mimi TheMason
Babu Msomali JF-Expert Member Joined Mar 4, 2016 Posts 265 Reaction score 786 Jun 2, 2017 #2 imekuaje mpaka uikumbuke sana? au ulipewa zawadi simu feki TCRA wakaizima?
Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,640 Jun 2, 2017 #3 Babu Msomali said: imekuaje mpaka uikumbuke sana? au ulipewa zawadi simu feki TCRA wakaizima? Click to expand... Itakuwa walizima kimulimuli chake huyu
Babu Msomali said: imekuaje mpaka uikumbuke sana? au ulipewa zawadi simu feki TCRA wakaizima? Click to expand... Itakuwa walizima kimulimuli chake huyu
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,887 Reaction score 113,373 Jun 2, 2017 #4 TheMason said: Tarehe kama ya Leo Mwaka uliopita ikumbukwe kwamba simu feki zilizimwa na TCRA! je wewe unakumbuka nini tarehe kama ye leo! Ni mimi TheMason Click to expand... Ebu ngoja ni Google, then nitakuja na jibu la yalio jiri tarehe kama ya leo
TheMason said: Tarehe kama ya Leo Mwaka uliopita ikumbukwe kwamba simu feki zilizimwa na TCRA! je wewe unakumbuka nini tarehe kama ye leo! Ni mimi TheMason Click to expand... Ebu ngoja ni Google, then nitakuja na jibu la yalio jiri tarehe kama ya leo
Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,312 Reaction score 8,754 Jun 2, 2017 Thread starter #5 Ushimen said: Ebu ngoja ni Google, then nitakuja na jibu la yalio jiri tarehe kama ya leo Click to expand... ahahaaa poaa Boss
Ushimen said: Ebu ngoja ni Google, then nitakuja na jibu la yalio jiri tarehe kama ya leo Click to expand... ahahaaa poaa Boss